Pages

Monday, November 7, 2011

HONGERA KWA KUMALIZA MWAKA

Kwanza nichukue nafasi hii kuwashukuruni nyote kwa jitihada zenu za hapa na pale mlizoonesha kuhakikisha chama kinakuwepo na kinasonga mbele, ni hatua kubwa tumepitia hadi kufika hatuu ya kuitwa chama chenye karibia wanachama hamsini! niwashukuru viongozi wote waliomaliza muda wao na viongozi wapya, chama ni chetu na lazima tukijenge kwa moyo wetu wote!niwatoe wasiwasi,mmeniamini tena kukiongoza sana, ningependa sana ushirikiano ili imani mlionesha kwangu na uongozi wote kwa ujumla inaonekana!zaidi nihaidi ushirikiano, uwazi na ukweli katika kufanikisha malengo ya chama.by japhet mukala-mwenyekiti wa chama.

No comments:

Post a Comment