Pages

Sunday, February 5, 2012

HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE (1938-1984)

HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE (1938-1984)


Leo Aprili 12,2009 ni miaka 25 tangu afariki Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Sokoine alifariki kwa ajali ya gari huko Dakawa nje kidogo ya Mji wa Morogoro,katika barabara kuu ya MOROGORO-DODOMA akiwa anatokea Dodoma kwenye Kikao cha Bunge.
Tutamkumbuka kwa jinsi alivyojishughulisha na kukomesha UFISADI wa wakati ule.

1 Maoni yako:

  1. Ufisadi kwa wakati ule na sasa tutaita Dhuluma.
    Hivi leo tunaweza tukatangaza vita Dhidi ya "wahujumu uchumi na walanguzi?" Hizi ni siasa zilizopitwa na wakati. Siasa zilizorudisha maendeleo ya Tanganyika (au Tanzania). Tushazika siasa za ujamaa na kujitegeme na tumegundua baadaye kwamba fikra sahihi za mwenyekiti wa C.C.M zilikuwa si sahihi kabisa. Juu ya kuwa walikuwa na nia safi lakini tukubali walichemsha! Na baadaye tukafata soko huru kama alivyobashiri bwana Oscar Kambona, ambayo Nyerere na Kawawa waliyapinga.